RAI TV
RAI TV
  • Видео 1 629
  • Просмотров 9 709 318

Видео

SWALA YA EID EL-ADH'HAA KITAIFA MSIKITI WA MFALME MOHAMED V1 | VIONGOZI MBALI MBALI WASHIRIKI
Просмотров 75 часов назад
SWALA YA EID EL-ADH'HAA KITAIFA MSIKITI WA MFALME MOHAMED V1 | VIONGOZI MBALI MBALI WASHIRIKI
NAIBU WAZIRI WA UJENZI KASEKENYA ATOA KAULI NZITO KWA WAKANDARASI | BARABARA IREKEBISHWE MARA MOJA
Просмотров 642 часа назад
NAIBU WAZIRI WA UJENZI KASEKENYA ATOA KAULI NZITO KWA WAKANDARASI | BARABARA IREKEBISHWE MARA MOJA
WEWE UNATAPELI MALORI HELA YA USHURU | RC MAKONDA HUYO NURU ADAM NDO NANI | MKAE KIKAO NA HAWA WOTE
Просмотров 942 часа назад
WEWE UNATAPELI MALORI HELA YA USHURU | RC MAKONDA HUYO NURU ADAM NDO NANI | MKAE KIKAO NA HAWA WOTE
MAMA ATAPELIWA SHAMBA NA AFISA ARDHI LANGU | TARURA AMKATAA AFISA ARDHI HADHARANI | BARABARA SIIJUI
Просмотров 1,2 тыс.2 часа назад
MAMA ATAPELIWA SHAMBA NA AFISA ARDHI LANGU | TARURA AMKATAA AFISA ARDHI HADHARANI | BARABARA SIIJUI
RC MAKONDA WEWE NA MIWANI YAKO SIO MLINZI WANGU SIKUJUI |MPIGIE SIMU TUJUE HELA YA MAJI INAKUJA LINI
Просмотров 7512 часа назад
RC MAKONDA WEWE NA MIWANI YAKO SIO MLINZI WANGU SIKUJUI |MPIGIE SIMU TUJUE HELA YA MAJI INAKUJA LINI
MAMA ALIYEGONGWA NA GARI YA KANISA RC AMPA MILIONI MOJA | MGUU WANGU ULIKATIKA NATUMIA MGUU BANDIA
Просмотров 3292 часа назад
MAMA ALIYEGONGWA NA GARI YA KANISA RC AMPA MILIONI MOJA | MGUU WANGU ULIKATIKA NATUMIA MGUU BANDIA
TUNDU LISSU AIVAA CCM NA RAIS SAMIA KWAO IKUNGI | HOTUBA YA LISSU YAWAACHA WANANCHI MIDOMO WAZI
Просмотров 322 часа назад
TUNDU LISSU AIVAA CCM NA RAIS SAMIA KWAO IKUNGI | HOTUBA YA LISSU YAWAACHA WANANCHI MIDOMO WAZI
IBRAHIM CLASSIC ATANGAZA KURUDI ULINGONI UPYA | MAFIA BOXING HAWANA MAPAMBANO YA MCHONGO
Просмотров 752 часа назад
IBRAHIM CLASSIC ATANGAZA KURUDI ULINGONI UPYA | MAFIA BOXING HAWANA MAPAMBANO YA MCHONGO
RAIS SAMIA AMVAA MKUU WA WILAYA ALIYEFANYA UBABE | BADO NAONA KUNA WAKUU WA MIKOA WANAENDELEZA NA...
Просмотров 8212 часа назад
RAIS SAMIA AMVAA MKUU WA WILAYA ALIYEFANYA UBABE | BADO NAONA KUNA WAKUU WA MIKOA WANAENDELEZA NA...
WAZIRI SILAA ANUSURU NYUMBA ZA WANANCHI ZISIVUNJWE | AIBUA SHANGWE KWA WANANCHI WAPINGA MGOGORO HUO
Просмотров 4,1 тыс.2 часа назад
WAZIRI SILAA ANUSURU NYUMBA ZA WANANCHI ZISIVUNJWE | AIBUA SHANGWE KWA WANANCHI WAPINGA MGOGORO HUO
TULIA ACKSON NA MAKAMU MPANGO WAMKINGIA KIFUA RAIS SAMIA | WAKATI AKIPOKEA TAARIFA YA HAKI JINAI
Просмотров 2294 часа назад
TULIA ACKSON NA MAKAMU MPANGO WAMKINGIA KIFUA RAIS SAMIA | WAKATI AKIPOKEA TAARIFA YA HAKI JINAI
BALOZI AMKABIDHI RAIS SAMIA SULUHU TAARIFA YA HAKI JINAI | TAARIFA YA KUUNDA MKAKATI WA MAENDELEO
Просмотров 784 часа назад
BALOZI AMKABIDHI RAIS SAMIA SULUHU TAARIFA YA HAKI JINAI | TAARIFA YA KUUNDA MKAKATI WA MAENDELEO
TULIA ACKSON NA WAZIRI MAJALIWA WATAJWA WAKATI WA TAARIFA ZA HAKI JINAI | RAIS SAMIA APOKEA TAARIFA
Просмотров 3064 часа назад
TULIA ACKSON NA WAZIRI MAJALIWA WATAJWA WAKATI WA TAARIFA ZA HAKI JINAI | RAIS SAMIA APOKEA TAARIFA
TUNDU LISSU AMVAA RAIS SAMIA HADHARANI AMSHIKA KOONI | HUYU MZANZIBAR KAHONGA PIKIPIKI NCHI NZIMA
Просмотров 9244 часа назад
TUNDU LISSU AMVAA RAIS SAMIA HADHARANI AMSHIKA KOONI | HUYU MZANZIBAR KAHONGA PIKIPIKI NCHI NZIMA
MH.PAMBALU AMUWASHIA MOTO WAZIRI MWIGULU NA RAIS SAMIA JUU YA BAJETI | AMETAJA JINA LA SAMIA MARA 70
Просмотров 2494 часа назад
MH.PAMBALU AMUWASHIA MOTO WAZIRI MWIGULU NA RAIS SAMIA JUU YA BAJETI | AMETAJA JINA LA SAMIA MARA 70
MCHINA MKANDARASI ATOA AHADI BARABARA YA UVINZA KUKAMILIKA MARCH 2025 | MALAGALASI UJENZI WAFIKA 50%
Просмотров 4194 часа назад
MCHINA MKANDARASI ATOA AHADI BARABARA YA UVINZA KUKAMILIKA MARCH 2025 | MALAGALASI UJENZI WAFIKA 50%
DC MAGOTI AMTAMBULISHA MKEWE WAKATI AKIPEWA WILAYA YA KISARAWE | RAIS SAMIA HALALI SISI TUNALALAJE
Просмотров 33 тыс.7 часов назад
DC MAGOTI AMTAMBULISHA MKEWE WAKATI AKIPEWA WILAYA YA KISARAWE | RAIS SAMIA HALALI SISI TUNALALAJE
WAZIRI SILAA NITAKUJA NA TINGA TINGA KUBOMOA HIYO NYUMBA | MMALIZANE NA HUYU MAMA KABLA SIJAJA TENA
Просмотров 7 тыс.7 часов назад
WAZIRI SILAA NITAKUJA NA TINGA TINGA KUBOMOA HIYO NYUMBA | MMALIZANE NA HUYU MAMA KABLA SIJAJA TENA
WAZIRI SILAA ACHARUKA NA WAVAMIZI WA ARDHI NCHINI | WANAJIFANYA KUCHEZA NA AKILI ZA VIONGOZI NA.....
Просмотров 1,1 тыс.7 часов назад
WAZIRI SILAA ACHARUKA NA WAVAMIZI WA ARDHI NCHINI | WANAJIFANYA KUCHEZA NA AKILI ZA VIONGOZI NA.....
WAZIRI SILAA ATOA KAULI NZITO ARUSHA | OLJORO MGOGORO WA MASHAMBA KATI YA WANAJESHI NA WANANCHI
Просмотров 2,2 тыс.7 часов назад
WAZIRI SILAA ATOA KAULI NZITO ARUSHA | OLJORO MGOGORO WA MASHAMBA KATI YA WANAJESHI NA WANANCHI
MAKONDA ATOA NENO ZITO KWA WAHANGA WA MAAFURIKO KARATU | MIMI NI SAUTI YA WANYONGE | NAYAJUA MAISHA
Просмотров 1327 часов назад
MAKONDA ATOA NENO ZITO KWA WAHANGA WA MAAFURIKO KARATU | MIMI NI SAUTI YA WANYONGE | NAYAJUA MAISHA
TUNDU LISSU HATA SAMIA AKIFUNGIA MTANDAO WA X BADO ATAKOSOLEWA | TUTAIPATA KATIBA MPYA KWA SHARI
Просмотров 6477 часов назад
TUNDU LISSU HATA SAMIA AKIFUNGIA MTANDAO WA X BADO ATAKOSOLEWA | TUTAIPATA KATIBA MPYA KWA SHARI
TRENI YA UMEME YAANZA SAFARI ZAKE RASMI SGR DAR - MORO |TAZAMA ILIVYOZINDULIWA KAMPENI YA #RELIYETU
Просмотров 1037 часов назад
TRENI YA UMEME YAANZA SAFARI ZAKE RASMI SGR DAR - MORO |TAZAMA ILIVYOZINDULIWA KAMPENI YA #RELIYETU
SERIKALI KUTOZA USHURU KWENYE POMBE | MICHEZO YA KUBAHATISHA KAMARI NA TOMATO SOURCE MWIGULU NCHEMBA
Просмотров 1157 часов назад
SERIKALI KUTOZA USHURU KWENYE POMBE | MICHEZO YA KUBAHATISHA KAMARI NA TOMATO SOURCE MWIGULU NCHEMBA
WAZIRI MWIGULU AFICHUA ALIVYOFUKUZWA UWAZIRI NA HAYATI MAGUFULI | JAMBO HILI LILIFANYA NIKAKOSA KAZI
Просмотров 1457 часов назад
WAZIRI MWIGULU AFICHUA ALIVYOFUKUZWA UWAZIRI NA HAYATI MAGUFULI | JAMBO HILI LILIFANYA NIKAKOSA KAZI
MKE WA WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ATAMBULISHWA BUNGENI | TULIA AWATAMBULISHA WATOTO NA MKE WA MWIGULU
Просмотров 3,1 тыс.7 часов назад
MKE WA WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ATAMBULISHWA BUNGENI | TULIA AWATAMBULISHA WATOTO NA MKE WA MWIGULU
WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ACHARUKA KUHUSU UPUNGUFU WA FEDHA ZA KIGENI DOLLAR NCHINI |TUTUMIE FEDHA ZETU
Просмотров 647 часов назад
WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ACHARUKA KUHUSU UPUNGUFU WA FEDHA ZA KIGENI DOLLAR NCHINI |TUTUMIE FEDHA ZETU
WAZIRI MWIGULU AIPA PONGEZI WIZARA YA NISHATI | IMEFIKIA ASILIMIA 95 KWA SASA | MIKOPO YA VYUO NA...
Просмотров 1337 часов назад
WAZIRI MWIGULU AIPA PONGEZI WIZARA YA NISHATI | IMEFIKIA ASILIMIA 95 KWA SASA | MIKOPO YA VYUO NA...
WAZIRI MWIGULU AFICHUA SABABU ZA ONGEZEKO LA DENI LA TAIFA | HAWAJIULIZI LIMEONGEZEKA KWA NINI......
Просмотров 5797 часов назад
WAZIRI MWIGULU AFICHUA SABABU ZA ONGEZEKO LA DENI LA TAIFA | HAWAJIULIZI LIMEONGEZEKA KWA NINI......

Комментарии

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 3 минуты назад

    Sijawahi jua Kama magoti Ana hekima kiasi hiki

  • @PeterMshali
    @PeterMshali Час назад

    Duuuh.... Mbona wengi wakikosolewa wanakupoteza😮

  • @user-jx9xc6vo9x
    @user-jx9xc6vo9x Час назад

    Pole

  • @user-jf1yd4oi4w
    @user-jf1yd4oi4w 2 часа назад

    Hongera sana kaka,Mwenye enzi Mungu akuogoze

  • @JudithMbogoro
    @JudithMbogoro 3 часа назад

    Mungu aendeleee kukulinda kama tulivyofanya Matarawe Songea Mjini kwenye Kata ya Mh Judith Erasto Mbogoro wewe unalindwa na Jeshi la Maraika hutakufa utaishi

  • @evatimothy7382
    @evatimothy7382 4 часа назад

    Mkewe amenenepaaa

  • @MwanjiNzala-mo5ni
    @MwanjiNzala-mo5ni 6 часов назад

    Na chombo kimefanana na mama yake❤❤

  • @user-gm4qi3nn9n
    @user-gm4qi3nn9n 6 часов назад

    ❤❤❤❤mke mtiifu,mume hekima karibu kisarawe

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 7 часов назад

    Hapo uwezi kueleza lolote ukaeleweka na watafutaji maama gharama ya ujenzi wa ghorofa sio sawa na uteuzi wako.. Lingetaifishwa apewe huyo mwenye kiwanja sio kuvunja halafu uanze maneno... No no no

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 7 часов назад

    Naona wale makachero wa ikulu wanatolewa nje Sasa hvi kimsaidia mama. Bado Warsam

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 7 часов назад

    Kachero mkongwe

  • @BorySaronge
    @BorySaronge 8 часов назад

    Kwa hiyo unamfukuza ndugu yako katika kijiji chake unaleta machafuko na mauaji ya kisiasa katika vijiji hivyo na ndio maana umesema matamshi hayo ni magumu unazima moto kwa petroli utayaona mwenyewe usije ukaisingizia ccm wakati umetamka mwenyewe.

  • @AlexKb-st6co
    @AlexKb-st6co 8 часов назад

    Mungu akulinde unapiga kazi kweli kweli endelea hivo malaika wa mbigu wapo,,,amen,,,

  • @user-cq2lt6ho5w
    @user-cq2lt6ho5w 9 часов назад

    Sasa hizo pikipiki kazipelek kwake au kawapa raia?

  • @kiondoshaghude4966
    @kiondoshaghude4966 11 часов назад

    Mh magoti Kuna watu wamekusubiria muda mrefu sn na Leo umefika ,,Tembelea Kijiji cha Tondoroni chemchem watu Hawa wametafuta kujua hatima yao muda mrefu nenda uwaambie kati ya Mambo mawili wabakie na eneo lao ,,au Waondoke walishalipwa ili maisha mwingine yaendelee..mgogoro ule ufike mwisho ...mm toka mdogo mgogoro upo Kijiji kina hati ya halali 1992 unaambiwa kilitasminiwa kiondoke 1984-86 aliyetoa hati ya 1992 ni nani?...hebu wasaidie Hao wanyonge sio washinde isiyo haki yao waambiwe Waondoke,,,kama ni haki yao wapewe ...wanasumbuliwa na Viongozi wao wasio waaminifu kuchangia kila siku Kesi na haiishi ...nenda mungu akuongoze mgogoro huo ufike mwisho...sijajua waliokutangulia walikua wanatishwa na nn ila najua na nazifahamu kwa kusikia KAZI zako unakwenda kumaliza huu mgogoro kabisa ,,mungu akutangulie sn na kukupa maisha mrefu barikiwa sana Mh DC Magoti

  • @user-lm5fu5tu5z
    @user-lm5fu5tu5z 13 часов назад

    Waziri slaa bana yaani anakusikiliza tu halafu anakubana kupitia hayohayo maelezo yako na anakumaliza🤣🤣🤣

  • @user-lr6qx9df4z
    @user-lr6qx9df4z 17 часов назад

    Ila viongozi wa siasa za Tanzania wanaongoza kwa kuambiana maneno machafu na ya kuudhi lakini ukija kwenye suwala la kusababisha mapigano ya nchi nzima bado sana hao wakupigana wakuwapi ukiangalia mikutano utaona kama kweli watakinukisha vile lakini wapi kwanza waoga na mtu akitikishwa kidogo tu anawataja wenzake wote sasa pananini hapo hapo mtaishia hivyo hivyo tu kumvuzia mtu mumpige au wapigane ni hivyo ila mapigano ya nchi nzima hiyo bado sana huko hizo ni kelele tu za kufurahisha watu basi hakuna makamanda hapo makamanda ntawaona mkitaka kujaribu ila siombi tufikie huko ila naamini kwa Tanzania hiyo bado sana kufikia huko

  • @user-lr6qx9df4z
    @user-lr6qx9df4z 17 часов назад

    Lisu hivyo unavyokusudia ww iwe kwa nchi hiyo ya Tanzania bado sana haiwezekani na haito wezekana Tanzania kuwe na mapigano ya wenywe kwa wenyewe kama nchi zengine bado zana mtawaoiga tu watu wawili watatu na nyie mtapigwa ni hivyo lakini kwa hivyo unavyo kusudia ww Tanzania kuwe na machafuko kwa nchi nzima hiyo bado sana na haito tokea hilo na sahau ww kama unakula hizo pesa ww kula tu hao wanashangiria tu na siwatendaji hao wakisikia vingora tu wanakimbia wenyewe Tanzania usilinganishe na nchi zengine huko bado sana

  • @kamalmukaddam1521
    @kamalmukaddam1521 17 часов назад

    Tatizo mahakama na polisi

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 18 часов назад

    Hii Barabara inafanyiwa mchezo toka enzi za mkapa mpaka leo hera zinapigwa hakuna anae wajibika hivi huu ni ungwana!!!?

  • @user-ct7sw7ro3q
    @user-ct7sw7ro3q 18 часов назад

    Jibu langu lingekuwa kwamba nitawajika

  • @UjenziTv_
    @UjenziTv_ 18 часов назад

    🤝

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 18 часов назад

    Amina ni chombo cha maana kabisa.

  • @aliceudoba3672
    @aliceudoba3672 18 часов назад

    Mungu baba awe nawe siku zote za maisha yako

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 19 часов назад

    Acha porojo na kusema wenzako .Hizo ndiyo Sera za kutaka nchi .Wewe ultimate kuwa mbunge miaka kumi ulifanya nini?Tundulisu kila

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 20 часов назад

    Watu wanaumizwa sana na viongozi wabovu

  • @user-hp7rx4zk4t
    @user-hp7rx4zk4t 20 часов назад

    Jmn mzee magu uyu ...nmeckiaa kweli kweliiiii

  • @AshaMwamba
    @AshaMwamba 21 час назад

    Huna maisha magumu mama ila wamekuonea

  • @StelaJohn-nj5yf
    @StelaJohn-nj5yf 22 часа назад

    God be with you Makonda

  • @ZuenaSharifu
    @ZuenaSharifu 22 часа назад

    Vita vya panzi ni anani Kwa kunguru

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 22 часа назад

    Makonda Kazi unayo fanya Malipo yake utayakuta mbela ya Mungu Pia naomba mama samia agize Wa kuu wote wa mikoa wafuate mfano wako Kwani matatizo haya hayapo tu Arusha Watanzania wanasononeka wakiona wenzao wa Arusha Wamepata mtetezi

  • @PetroIbrahim-ds9ml
    @PetroIbrahim-ds9ml 22 часа назад

    Kaka umeongea mpaka machoz yamenilenga , hakika saut kama mwamba wetu alyelala chato kat ya maneno ya hekima na busara ndo haya tunayoyataka ,maneno yasyokuwa na ufisadi Wala vijembe kama wengne

  • @user-gb6us5xt1p
    @user-gb6us5xt1p 23 часа назад

    Hongera sn mh. ALLAH akusimamie kila hatua

  • @salumsaid7301
    @salumsaid7301 День назад

    Amechemmmmmkaaaaaa kwakweli

  • @ezekieltate4877
    @ezekieltate4877 День назад

    Mr.Magoti nikiongozi wa busara sana,hakika wanakisarawe mtafaidi sana tena sana

  • @user-wu7vm2vc8z
    @user-wu7vm2vc8z День назад

    Tunataka maji sasa kisarawe sio kutambulisha wageni tu na siku ya kufukuzwa uwaite ivyo ivyo wakuage

  • @user-sc2ze2rn6n
    @user-sc2ze2rn6n День назад

    Mungu aendelee kukuinua zaidi na zaidi

  • @user-bq4tk6yq2q
    @user-bq4tk6yq2q День назад

    Makonda mtetezi wa haki za wanyoge.

  • @mmarycalvin6395
    @mmarycalvin6395 День назад

    Mh. Magoti anaongea na kwa hekima sanaaa. Yafaa kuigwa hivii. Ni maombi yetu Mungu amsaidie achape kazi kumsaidia Mh Rais Katika eneo lake.

  • @wemakanka3171
    @wemakanka3171 День назад

    Hongera DC magoti mungu akutangulie

  • @edgarmazyeta9129
    @edgarmazyeta9129 День назад

    Uyu alikuwa usalama ikulu

  • @maase2023
    @maase2023 День назад

    Jamani ??????

  • @subo2667
    @subo2667 День назад

    "mengine sio ya kwenye mic" Nimeelewa sana hii kauli

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 День назад

    Alafu unapiga isabu ya piki piki mia saba thamani hii umeenda kiwandani ukakuta zinauzwa bei hiyo china ? Yaani wewe ni mwehu sana na ni mbaguzi uliyepitiliza huna tofauti na mangi kimambi

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 День назад

    Lissu sema na ile hela aliotoaa 150 milioni katika kanisa la kina mboee machame.usiongelee pki pki tu

  • @emmabrownmissana6996
    @emmabrownmissana6996 День назад

    Kidogo unakomaa katika kutatua migogolo hongera

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 День назад

    Huyu mama hajielewi,yaani kumbukumbu muhimu za documenti zake hana.Hivi amekwenda shule kweli? Aliyewahi kumuoa ana hasara.Wanaume tuoe wanawake wanaoweza kujisimwmia na kufuatilia mambo,hata tukiondoka duniani mali za watoto wetu zinalindwa.

  • @mussaharun7257
    @mussaharun7257 День назад

    Mh. Jerry Slaa niliwahi kusikia ulisoma sheria. Hakika unatendea haki cheo chako na Mungu akulinde sana. Mh Rais ameeleza vema kwamba ardhi ndio msingi wa kila kitu. Mh Waziri naomba tumia kanzi data na IT kudhibiti uuzaji kiholela kwani ardhi pekee inaweza kuchangia robo ya bajeti ya serikali. Msaidieni mama Samia amewaamini na Sisi tunampenda

  • @mackbossofficial5537
    @mackbossofficial5537 День назад

    Hongera sanaaa

  • @user-ki3uw7ew3d
    @user-ki3uw7ew3d День назад

    Huyo mama analazimisha kumuelewesha waziri analeta ujuaji mbela ya sheria