RAI TV
RAI TV
  • Видео 1 700
  • Просмотров 9 962 522

Видео

MBUNGE MSUKUMA ANA DENI KUBWA KULIKO MWIGULU |TAIFA NI TAJIRI NDO MAANA LINAKOPA | MIGOMO TATIZO
Просмотров 125Час назад
MBUNGE MSUKUMA ANA DENI KUBWA KULIKO MWIGULU |TAIFA NI TAJIRI NDO MAANA LINAKOPA | MIGOMO TATIZO
KIKOKOTOO CHALETA GUMZO BUNGENI LEO | UMMY MWALIMU SIFA KWA SAMIA | NDEJEMBI ATEMA CHECHE BUNGENI
Просмотров 683 часа назад
KIKOKOTOO CHALETA GUMZO BUNGENI LEO | UMMY MWALIMU SIFA KWA SAMIA | NDEJEMBI ATEMA CHECHE BUNGENI
BUNGE LA PILI BILA MHE.MPINA KUWASILI | WAZIRI BASHUNGWA ATEMA CHECHE |BAJETI YA UJENZI WA BARARBARA
Просмотров 1483 часа назад
BUNGE LA PILI BILA MHE.MPINA KUWASILI | WAZIRI BASHUNGWA ATEMA CHECHE |BAJETI YA UJENZI WA BARARBARA
RAIS RUTO AWAITA WAANDAMANAJI WAHALIFU NA WAHAINI | ATOA ONYO KALI JESHI LA ULINZI KUINGIA MTAANI
Просмотров 8906 часов назад
RAIS RUTO AWAITA WAANDAMANAJI WAHALIFU NA WAHAINI | ATOA ONYO KALI JESHI LA ULINZI KUINGIA MTAANI
ASKARI WALIOPEWA AJIRA 2024 WATOA MISAADA MAHOSPITALI | WATOA MISAADA KWENYE HOSPITALI ZA RUFAA
Просмотров 19720 часов назад
ASKARI WALIOPEWA AJIRA 2024 WATOA MISAADA MAHOSPITALI | WATOA MISAADA KWENYE HOSPITALI ZA RUFAA
BUNGENI BILA MHE.MPINA HAPAELEWEKI | KUNAMBI AMKATAA WAZIRI NCHEMBA | SIWAUNGI MKONO WIZARA YA FEDHA
Просмотров 1,3 тыс.21 час назад
BUNGENI BILA MHE.MPINA HAPAELEWEKI | KUNAMBI AMKATAA WAZIRI NCHEMBA | SIWAUNGI MKONO WIZARA YA FEDHA
BUNGE LA KWANZA BILA MPINA KUWEPO | MAKONDA ATAJWA NA KEISHA | FEDHA ZIMEENDA MILADI HAIJAANZA KAZI.
Просмотров 3,5 тыс.22 часа назад
BUNGE LA KWANZA BILA MPINA KUWEPO | MAKONDA ATAJWA NA KEISHA | FEDHA ZIMEENDA MILADI HAIJAANZA KAZI.
MPINA ATANDIKWE SIKU 15 AWE NA HESHIMA HUMU NDANI |MHE.MPINA ATOA NENO NAJUA MNANIONDOA HUMU BUNGENI
Просмотров 57123 часа назад
MPINA ATANDIKWE SIKU 15 AWE NA HESHIMA HUMU NDANI |MHE.MPINA ATOA NENO NAJUA MNANIONDOA HUMU BUNGENI
SAKATA LA MGOMO KARIAKOO LAWAIBUA ACT WAZALENDO | KARIAKOO NI KITOVU CHA BIASHARA ACHENI DHULMA
Просмотров 1532 часа назад
SAKATA LA MGOMO KARIAKOO LAWAIBUA ACT WAZALENDO | KARIAKOO NI KITOVU CHA BIASHARA ACHENI DHULMA
WAFANYA BIASHARA MWANZA WAFUNGA MADUKA | WAANZA MGOMO KODI ZA DHULMA | TUNAOMBA SERIKALI IACHE SASA.
Просмотров 862 часа назад
WAFANYA BIASHARA MWANZA WAFUNGA MADUKA | WAANZA MGOMO KODI ZA DHULMA | TUNAOMBA SERIKALI IACHE SASA.
MHE.MPINA AKIONA CHA MOTO BUNGENI | ASHIKA TAKA AKOSA CHA KUONGEA | GWAJIMA AMSHUSHIA MANENO MAKALI.
Просмотров 1 тыс.2 часа назад
MHE.MPINA AKIONA CHA MOTO BUNGENI | ASHIKA TAKA AKOSA CHA KUONGEA | GWAJIMA AMSHUSHIA MANENO MAKALI.
MBUNGE MPINA AFUKUZWA BUNGENI NA SPIKA TULIA | SASA NI MUDA WA KUTUMIKIA ADHABU ONDOKA MPINA HAPA
Просмотров 1,4 тыс.2 часа назад
MBUNGE MPINA AFUKUZWA BUNGENI NA SPIKA TULIA | SASA NI MUDA WA KUTUMIKIA ADHABU ONDOKA MPINA HAPA
MSUKUMA WE MPINA TULIA MTUHUMIWA WEWE | WAVURUGANA BUNGENI | ANACHANGIA AU ANANISIMANGA HUYU MSUKUMA
Просмотров 18 тыс.2 часа назад
MSUKUMA WE MPINA TULIA MTUHUMIWA WEWE | WAVURUGANA BUNGENI | ANACHANGIA AU ANANISIMANGA HUYU MSUKUMA
MPINA AKIPATA CHA MOTO BUNGENI | WABUNGE WOTE WAMKATAA DHARAU ALIZOLETA KWA SPIKA NA WAZIRI BASHE
Просмотров 442 часа назад
MPINA AKIPATA CHA MOTO BUNGENI | WABUNGE WOTE WAMKATAA DHARAU ALIZOLETA KWA SPIKA NA WAZIRI BASHE
HUKUMU YA MPINA YAWASILISHWA BUNGENI | TUHUMA ZA KUMDHARAU SPIKA WA BUNGE | KUPINGA MANENO YA BASHE.
Просмотров 1,9 тыс.2 часа назад
HUKUMU YA MPINA YAWASILISHWA BUNGENI | TUHUMA ZA KUMDHARAU SPIKA WA BUNGE | KUPINGA MANENO YA BASHE.
IRENE UWOYA AJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MAKONDA ARUSHA | ASHUKURU KUPATA MATIBABU BURE BILA MALIPO.
Просмотров 9662 часа назад
IRENE UWOYA AJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MAKONDA ARUSHA | ASHUKURU KUPATA MATIBABU BURE BILA MALIPO.
WAZIRI BASHE AKINGIWA KIFUA BUNGENI NA KIGWANGWALLA | ANACHOFANYA WAZIRI BASHE NI KULINDA WANANCHI.
Просмотров 3132 часа назад
WAZIRI BASHE AKINGIWA KIFUA BUNGENI NA KIGWANGWALLA | ANACHOFANYA WAZIRI BASHE NI KULINDA WANANCHI.
SAKATA LA USHOGA MENEJA WA RAMADA ATAJWA BUNGENI | WAITARA AHOJI AMEKIMBIAJE "NCHINI KAPITIA WAPI?"
Просмотров 2762 часа назад
SAKATA LA USHOGA MENEJA WA RAMADA ATAJWA BUNGENI | WAITARA AHOJI AMEKIMBIAJE "NCHINI KAPITIA WAPI?"
MGOMO WA MADUKA KARIAKOO SERIKALI YAINGILIA KATI | TRA YASITISHA KAMATA KAMATA OVYO WAFANYABIASHARA.
Просмотров 2 тыс.2 часа назад
MGOMO WA MADUKA KARIAKOO SERIKALI YAINGILIA KATI | TRA YASITISHA KAMATA KAMATA OVYO WAFANYABIASHARA.
RC MAKONDA ASIKILIZA WAGONJWA KABLA YA HUDUMA | NATAKA MPATE HUDUMA MPONE |MTAPATA HUDUMA KILA BANDA
Просмотров 6024 часа назад
RC MAKONDA ASIKILIZA WAGONJWA KABLA YA HUDUMA | NATAKA MPATE HUDUMA MPONE |MTAPATA HUDUMA KILA BANDA
HALI YAZIDI KUWA TETE WAFANYA BIASHARA KARIAKOO | HATUFUNGUI MADUKA MBAKA KIELEWEKE WAFANYA BIASHARA
Просмотров 3794 часа назад
HALI YAZIDI KUWA TETE WAFANYA BIASHARA KARIAKOO | HATUFUNGUI MADUKA MBAKA KIELEWEKE WAFANYA BIASHARA
RAIS SAMIA AMUUNGA MKONO RC MAKONDA ARUSHA | AMPIGIA SIMU KAMBI YA MATIBABU | WOTE WATIBIWE BURE
Просмотров 1 тыс.4 часа назад
RAIS SAMIA AMUUNGA MKONO RC MAKONDA ARUSHA | AMPIGIA SIMU KAMBI YA MATIBABU | WOTE WATIBIWE BURE
SIFUNGUI DUKA MFANYA BIASHARA ABISHANA NA RC CHALAMILA |NGOMA NZITO KARIKAOO BILA WOGA WAGOMA KABISA
Просмотров 11 тыс.4 часа назад
SIFUNGUI DUKA MFANYA BIASHARA ABISHANA NA RC CHALAMILA |NGOMA NZITO KARIKAOO BILA WOGA WAGOMA KABISA
RC MAKONDA TUTAWATIBU WAGONJWA WOTE BURE | UKIZIDIWA TUNAKUPANDISHA HELIKOPTA MBAKA DAR ES SALAAM
Просмотров 1524 часа назад
RC MAKONDA TUTAWATIBU WAGONJWA WOTE BURE | UKIZIDIWA TUNAKUPANDISHA HELIKOPTA MBAKA DAR ES SALAAM
RC CHALAMILA AWACHARUKIA WAFANYA BIASHARA KARIAKOO | KUGOMA SIO SULUHISHO NASIKIA MNATAKA KUGOMA
Просмотров 4614 часа назад
RC CHALAMILA AWACHARUKIA WAFANYA BIASHARA KARIAKOO | KUGOMA SIO SULUHISHO NASIKIA MNATAKA KUGOMA
RC CHALAMILA MADADA POA NITAKANYAGA KLACHI | NITASIMAMA NA BOMBOKO KUWAMALIZA HAWA DADA POA WAACHE.
Просмотров 1934 часа назад
RC CHALAMILA MADADA POA NITAKANYAGA KLACHI | NITASIMAMA NA BOMBOKO KUWAMALIZA HAWA DADA POA WAACHE.
RC MAKONDA AFANYA BALAA ASHUSHA MADAKTARI BINGWA ARUSHA | WANANCHI WOTE WA ARUSHA MATIBABU BURE
Просмотров 1,3 тыс.7 часов назад
RC MAKONDA AFANYA BALAA ASHUSHA MADAKTARI BINGWA ARUSHA | WANANCHI WOTE WA ARUSHA MATIBABU BURE
CHADEMA WADAI TUME HURU YA UCHAGUZI
Просмотров 1097 часов назад
CHADEMA WADAI TUME HURU YA UCHAGUZI
WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA WAKIPATA CHAMOTO AMBAO HAWAKURIPOTI | WATAKIWA KURIPOTI MAKAMBINI HARAKA
Просмотров 559 часов назад
WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA WAKIPATA CHAMOTO AMBAO HAWAKURIPOTI | WATAKIWA KURIPOTI MAKAMBINI HARAKA

Комментарии

  • @josephamos6636
    @josephamos6636 4 минуты назад

    Hoja za mpina ziko vizuri sana labda tu kwasababu ameongea na waandishi mmepataaibu kuumbuliwa sili zenu za upigaji

  • @maase2023
    @maase2023 12 минут назад

    Mbunge kama msukuma anaongea mno tu lkn hakuna hoja ya maana kwa kweli! Mpina bravo bravo mtetezi wa wananchi

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 24 минуты назад

    Kwa hiyo unamsimanga.

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 25 минут назад

    Msukuma utakuja kuchukiwa hutasahau.Unapenda kujikweza ukipenda unaongraga vizuri,unanyooshaga mambo vizuri kuna wakati unaparanganyika.nilishapendekeza uwe mbunge wa kanda ya ziwa.

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 32 минуты назад

    Mama yapo yatakao kukutaaa

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 38 минут назад

    Msukuma huna maana watakaa ukayee wewe

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 40 минут назад

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe Mungu atatenda kwa kweli

  • @edwardmbonika5102
    @edwardmbonika5102 Час назад

    Kweli ccm mwisho inakaribia

  • @williumgeofrey9587
    @williumgeofrey9587 Час назад

    Mbunge ni mpina pekee yake haya mengine ni machawa

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 2 часа назад

    Hamnazo kweli kwani wongo

  • @JohnMashamba
    @JohnMashamba 2 часа назад

    Soma hiyo itatusaidia wote Mhubiri 3:1-9

  • @JohnMashamba
    @JohnMashamba 2 часа назад

    Kasheku,usijisifu ninani atarudi?huku nje tunawaombea wote Bungeni liwe na Amani,na Mhubiri 3:3-8.

  • @DenisRukangula
    @DenisRukangula 3 часа назад

    Kwa kukandiana hamjambo Kwani Nani asiyekosea

  • @josephmahando493
    @josephmahando493 3 часа назад

    Mbona hayo maamuzi magumu na kama mna uchungu na watanzania, madudu mengi yanafanywa na hao mawaziri hajawahi kuchukuwa hatua , acheni unafiki,, Mpina Songa mbelee kuisimamia haki Kuna gharama kubwa.

  • @DenisRukangula
    @DenisRukangula 4 часа назад

    Mbona uwa mnashikashika vijikalatasi na hamvisomi ? Baba tai iko pembeni irekebisheeee

  • @FarajiHaruna
    @FarajiHaruna 4 часа назад

    We msukuma au msukule hizo ni chuki binafsi Mpina tuko pamoja MUNGU atakunyanyua

  • @Izonecommunity
    @Izonecommunity 5 часов назад

    Mbn sisi hatujalalamika? Acha ujinga

  • @zaidyabed
    @zaidyabed 5 часов назад

    Wakoswa akili

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 6 часов назад

    Gwajima alikua zaman sio sasa n pesa TU yupo kutetea ugar tu

  • @frankpeter4178
    @frankpeter4178 6 часов назад

    Huyu naye ninashawishika kuamini siku hizi hayuko upande wa Wananchi maana hata ishu ya Dubai alitajwa......😂

  • @erickmtweve1977
    @erickmtweve1977 7 часов назад

    Hakika nimeona Tanzania ni ya namna gani? Mpina jipe moyo

  • @allykwaya
    @allykwaya 8 часов назад

    Je ushahudi wa Muheshiwa mpina dhidi ya waziri wa kilimo hatma yake nini? Watanzania wanasubiri majibu

  • @allykwaya
    @allykwaya 8 часов назад

    Wabunge wote mnasapoti akili zenu zinafanana. Watanzania wanelewa. Mpina kafikisha kilichofichwa bila kujali wala kuogopa.

  • @zuberihamisi460
    @zuberihamisi460 11 часов назад

    Tunawasubiri majimboni

  • @zuberihamisi460
    @zuberihamisi460 11 часов назад

    Msukuma ni munafiki hanaga msimamo ,akija huyu analalia huko akija mwingine anamponda alie tangulia

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 11 часов назад

    yaani heading zako Rai TV hazikai vizuri..sasa tena kusema Mpina aloa jasho mbona nidhamu ndogo sana na ww ni mtangazaji> haya aliongea Rais vile heading zenu watangazaji zinaonekana..mmh kazi kweli

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 13 часов назад

    Mhhh kasheshe

  • @kasomishedrack5027
    @kasomishedrack5027 14 часов назад

    Lipeni Kodi maana mko wapuuzi mno nyie viongozi huwa mnakuwa vigeugeu mno kwa kujifanya maccm.Tena serikali ingewafungulia kesi ya uhujumu uchumi.

  • @StevenKimath
    @StevenKimath 14 часов назад

    Hawa wakinna bashite kumbe bado wapo?sasa hapo kaongea utumbo gan?

  • @user-cz1mt6zp7e
    @user-cz1mt6zp7e 15 часов назад

    Sisi tulio wengi tutasimama na mpina, wezi wa Mali za umma hatuwataki

  • @kashiririrkaasongwisye9487
    @kashiririrkaasongwisye9487 15 часов назад

    Nimecheka kwa sauti daa

  • @Heroes122
    @Heroes122 15 часов назад

    Hili kanisa inabidi lishukuriwe sana kwa kutibu bure wananchi

  • @Heroes122
    @Heroes122 15 часов назад

    Kwahiyo hii ni kampeni ya kanisa gani?

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 16 часов назад

    Msukuma wewe ni mnafiki sana

  • @shukurually8769
    @shukurually8769 16 часов назад

    Kufunga pekee aitoshi mnatakiwa muandamane kufikisha ujumbe

  • @bahatigewa4163
    @bahatigewa4163 16 часов назад

    Dah, roho imeniuma sana aisee.... Hata kama dunia mzima ikuwinde ila kama mungu hataki hayafanikiwi mawindo hayo.

  • @bahatigewa4163
    @bahatigewa4163 16 часов назад

    Dah, mungu akulinde jembe letu

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 16 часов назад

    Mh Makonda anafanya kazi nzuri kwa kujituma hata Rais Samia analijua hilo 🎉🎉🎉 Mh Makonda apewe maua yake 🌹🌹🌹

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 16 часов назад

    Mama Wewe Ni Mgonjwa Wa Akili.?????Ukapimwe Kama Utabadilisha Chochote Katika Nchi Yetu.

  • @petermilol2104
    @petermilol2104 16 часов назад

    Hovyo kabisa wewe Msukuma huyu Mpina anasema kweli tatizo Bunge la kihuni

  • @CharlesMwita-sl1jf
    @CharlesMwita-sl1jf 17 часов назад

    Umeongea vzr kaka,nakutakia majukumu mema,mungu akulinde

  • @salamasefu5494
    @salamasefu5494 17 часов назад

    Ukiwa mkweli hupendwi.bhashe mungu yuko na wewe

  • @wilsonyeza8202
    @wilsonyeza8202 17 часов назад

    Yani wewe unakula Kodi zetu unatuchimba biti tena,

  • @user-il2ei2cc9m
    @user-il2ei2cc9m 18 часов назад

    Pole Sana kumbe wewe nimwanasiasa hatahao wanaokusikiliza wamekudharau

  • @AbshirMubaarack
    @AbshirMubaarack 18 часов назад

    Najua kuwa mnalinda suti na tai zenu

  • @SanziNzige
    @SanziNzige 18 часов назад

    Niwaambie nyie wezi pongezaneni tu.lakini niwaibie siri.mludisheni mpina bungeni haraka iwezekanvyo bila masharti mungu anawaona tuuu haya

    • @RamadhanKitama
      @RamadhanKitama 18 часов назад

      Yanapongezana ujinga, huyu changudoa yupo karibu na changudoa mwenzie wanapigiana madeski tu, waone kwanza wanavyo.........! Nyooooo

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 16 часов назад

      😂😂😂😂​@@RamadhanKitama

  • @user-jl1ck1zo6b
    @user-jl1ck1zo6b 18 часов назад

    leta hoja za msingi acha na mpira

  • @user-jy4pm3hh9s
    @user-jy4pm3hh9s 18 часов назад

    Hamna lolote nyie 😂😂😂

  • @user-jy4pm3hh9s
    @user-jy4pm3hh9s 18 часов назад

    Yan machawa wotee

  • @victorkalolo5350
    @victorkalolo5350 18 часов назад

    Hapa gwajma mmmmmm